Monday, 3 September 2018

mfangavo

MUHAS;Selected Applicants for Undergraduate Degree Programmes 2018/2019

1. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) kinawapongeza wote waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki kwa mwaka wa masomo 2018/2019 katika Shahada mbalimbali. Bonyeza hapa kuona majina ya waliochaguliwa.
2. Wanafunzi wote waliochaguliwa MUHAS pamoja na vyuo vingine (Multiple Admissions) wanatakiwa kuthibitisha udahili wao kwa kuchagua MUHAS kwa kuingiza "Confirmation Code" iliyotumwa kwa njia ya ujumbe mfupi kutoka TCU kabla ya tarehe 6 Septemba 2018.
3. Jinsi ya kuthibitisha. Ingiza confirmation code hiyo kwenye MUHAS Online Application System. Bonyeza hapa kuingia kwenye mfumo na kuthibitisha4. Kwa maelezo zaidi, piga simu namba; +255 782 001 306/+255 767 011 306
Selected Applicants for Postgraduate Programmes 2018/2019 Click here to download the List!
Pre-Selection of Applicants for MSc by Research under Sida SupportClick here to download the List!


mfangavo

About mfangavo -

Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.

Subscribe to this Blog via Email :

1 Comments:

Write Comments
Unknown
AUTHOR
3 September 2018 at 21:45 delete

Vp kuhusu selection ya diploma ni lini itatoka

Reply
avatar